msaada wa avator | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa avator

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by jino kwa jino, Jan 25, 2011.

 1. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  avator(picha) yangu haitokei plz jinsi ya kuiweka naomba munikumbushe kwa anaejua
  asanteni sana
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  ikopi image yako mahali halafu nenda katiika profile setting uchague kuedit avatar
  select button ya use custom avatar
  browse image uliyoisevu uitakayo iwe avator yako
  save settings and exit
   
 3. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jino kwa jino, HONGERA umesaidiwa. Nami naomba nisaidiwe namna ya kuedit user name yangu, wana JF pls saidia.
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Wasiliana na Invisible, yeye ndio mwenye mamlaka.
   
 5. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  jina halibadiliki labda kwa maombi maalum yenye logic reason otherwise ufungue ID ingine kama kujaipenda ya awali
   
 6. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante.
   
 7. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante. Sijaipendi ID ya sasa, ni ngumu kutamka, hata Husninyo alisema ni ngumu kutamka wakati nilishajaribu kuibadili bila mafanikio.
   
 8. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mkuu nashukuru sana naona imekubali, unafaa kuwa kamwalimu
   
 9. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #9
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
Loading...