Msaada wa apps kurun background

Msaada wa apps kurun background

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
678
Reaction score
196
naomba msaada wa kufahamu apps kurunning background kwenye simu zinazotumia mfumo wa android nougat ukishaenda setting,apps,data usage,je pale kwenye neno background data unapaweka on yaani kuweka kialama cha kijani au off ili app isirunning background na niapps zipi zinarunning,lingine kuna hii app inaitwa duraspeed nayo inazuia app kurunning background nayo unafanyaje!,na kama kuna njia nyengine naomba kuelekezwa.
 
Background data inacontrol iwapo application iwapo application itaweza kuruhusiwa kutumia intanet ikiwa background (App inawekwa background endapo haitumiki directly na mtu) kwa hyo ukiweka background data off unazuia tu app zisiweze kupata intanet zikiwa background lakini huzuii uwezo wa app kurun background (mf. huwezi kupata message za whatsapp au endapo utaweka background data off au app yoyote inayotumia intanet ikiwa background ingawa inaweza kuwa inaendelea kurun background). App kama dura speed inachofanya ni kwamba inakuwa inaangalia kila muda kama kuna app ipo background then inaiua ila haizuii app kuingia background, kama unataka njia nzuri ya kuzuia app zisirun background nenda "Developer options">"Limit background processes" halafu chagua "No background processes" au selection yoyote utayoona inakufaa, background apps zina umuhimu wake hasa hasa kama unatumia social networks sana, hii setting ya "Limit Background processes" inareset baada ya kureboot simu kwa hyo inabidi uiset kila ukiwasha simu.
 
naomba msaada wa kufahamu apps kurunning background kwenye simu zinazotumia mfumo wa android nougat ukishaenda setting,apps,data usage,je pale kwenye neno background data unapaweka on yaani kuweka kialama cha kijani au off ili app isirunning background na niapps zipi zinarunning,lingine kuna hii app inaitwa duraspeed nayo inazuia app kurunning background nayo unafanyaje!,na kama kuna njia nyengine naomba kuelekezwa.
Pia kuna app ingine inaitwa master phone yenyewe ina mambo mengi kama kuscan na kuclair cm pia ina hizo future za kumeneji data, betri, lock, hide na nk.
Screenshot_20180919-112741.jpg
Screenshot_20180919-120239.jpg
 
Back
Top Bottom