Msaada wa application za vyuo 2018

Top gun maverick

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
2,092
Reaction score
2,923
Salamu wakuu husika kichwa cha habari hapo juu .Niko kwenye process za kuomba vyuo nimefanikiwa viwili tu lakini sua na udom vinasumbua sana. Kwa mfano sua nimeshajisajili Nina user name na password lakini haileti namna ya kulipa kwa M-PESA basi mwenye experience ya kutuma fee ya application anisaidie ...natanguliza shukurani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…