kwenye simu au pc..... btw unaweza search app inaitwa folder lock au LEO PRIVACY GUARD.... ila kwa mjanja wa simu hata uki lock files anaweza kuzipata na kuzifungua.
na unapoupdate hiyo app kwanza unlock your files then after updating ndio ulock tena maana app nyingine hufuta mafaili.