Mr Penal Code
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 823
- 216
habari wadau naomba mwenye link au website ambayo naweza pata application ya ku rootia tecno P3 anisaidie kwa sababu nimetafuta google bila mafanikio asanteni
hakuna hujatafuta google wala nini, manake mi nimeroot yang thru google nasaiv na enjoy acha uvivu, asikwambie mtu tecno p3 ni rahis sana kuroot ,so jipange sio kila kitu unataka utafniwe
hakuna hujatafuta google wala nini, manake mi nimeroot yang thru google nasaiv na enjoy acha uvivu, asikwambie mtu tecno p3 ni rahis sana kuroot ,so jipange sio kila kitu unataka utafniwe
mdau ipo fresh sna nimeifurahia sema usiku inatoa fresh lakini cyo sawa na mchana but imetulia kuhusu chaji inategemeana na matumizi yakoMkuu xor,me nataka kujua uwezo wa kukaa na chaji h cm!,
Pia uwezo wake wa kupiga pich,kwa maana ya kwality