Naomba msaada kwa anayejua App ambayo naweza kutazama futiboli ligi kubwa kubwa, kwa kuanza na mechi inayoendelea muda huu kati ya Spurs na Chelsea.
Nimejaribu kudownload App kama tatu lakini sijafanikiwa, naona nazidi kumaliza bando tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejaribu kudownload App kama tatu lakini sijafanikiwa, naona nazidi kumaliza bando tu.
Sent using Jamii Forums mobile app