Heshima kwenu wanajamvi. Nina BA with education(Gegraphy &Kiswahili).Kwa kuwa Mulugo katuweka mtaani mwezi wa 8 sasa,na kwa kuwa hali ya maisha yanazidi kuwa magumu. Natafuta ajira ya private. Mkwanja usiwe chini ya laki 6 takehome.