Msakaa Jr
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,390
- 7,838
Kwa mantiki hii ukiwa na degree hata kama unacheti cha Diploma pia ndio automatically cheti hicho cha Dip ndio kimekuwa Revoked?Yaani binadamu bwana, umepata changamoto kidogo unaanza kulaumu kuwa urasimu ni mwingi. Jaribu kuwa na mtazamo chanya uta enjoy maisha. Wame avoid kufuta mwenyewe kwa sababu mtu anaweza ona tangazo la diploma na yeye ana diploma na degree akaamua kufuta degree ili aombe kazi