Msaada wa ada watanzaina

oscarnyondo

Member
Aug 14, 2011
10
0
nimechaguliwa kujiunga na masomo ya diploma in iformation technology,tatizo nililonalo ni ukosefu wa ada,sina wazazi na ndugu uwezo wao mdogo.naomba msaada wenu watanzania.mawasiliano zaidi 0659 80 65 92
kwa aliye tayri kunisaidia anaweza akanitumia m pesa kwenda 0763 414 505
au tigo pesa 0655 80 65 92
 
Mkuu nimehuzunika sana na matatizo yako. Tafadhali nijulishe unahitaji kiasi gani cha pesa. Kwa mawasiliano nipigie 0784572272
 
Je umejaribu kwenda kwenye mashilika ya dini? Je serikali za mitaa, kijiji au kata wamekupa msaada gani? Pia onyesha kama kuna juhudi zako binafsi ulizozifanya ili watu wavutiwe na waweze kukusaidia, mwisho taja chuo ulichochaguliwa [kwa rejea] na kiasi kinachoitajika. ni ushauri tu.
 
umeongea ya maana sana mkuu,inabidi atuandikie taarifa za kutosha ili wawezeshaji wachukue nafasi yao tena ukizingatia ni ishu ya elimu.
 
mkuuu kwanza nashukuru.ila nimechelewa kureply kwa sababu ili nierply inabidi niingie internet cafe na mimi natafuta ada hela yenyewe ndo hivo tena sina.hivyo najua mi ndo mwenye shida ila siwez kukupigia kwa sababu SINA HELA.tafadhari samahani ila naomba kama hutojali uwasisiliane nami kupitia 0659806592
 
umeongea ya maana sana mkuu,inabidi atuandikie taarifa za kutosha ili wawezeshaji wachukue nafasi yao tena ukizingatia ni ishu ya elimu.
ni kweli ila siwezi nikaweka full information hapa hewani kwa sababu za kiusalama na mengineyo.ila kuweka namba ya simu ili kwa ataye hitaji taarifa zaidi tuweze kuwasiliana zaidi.;no 0659 80 659 2.nachelewa kureply hizi meseji kutokana na njia nayotumia kuwasiliana kwani inanilazimu kulipia muda internet cafe ndio niweze kujibu.tafadhari kwa mwenye uwezo wa kusaidia naomba awasiliane nami popote alipo nitamfuata na vielelezo vyote ataviona.asante sana
 
Back
Top Bottom