Msaada wa A level books

Msaada wa A level books

a small one

Member
Joined
May 22, 2017
Posts
51
Reaction score
27
Wakuu habari,nmefanikiwa kuchaguliwa kidato cha tano awamu ya pili 2017,tafadhali mwenye kufahamu vitabu vizuri katika masomo ya physics na chemistry naomba anijuze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kemia kuna kitu kinaitwa Lamsden. Kizuri sana ila bei.

Kama utasoma baiologia pia kuna Biological science.
 
Vitabu vya mpira klabu za uingereza kama charlton f.c / watford f.c / preston lancashire f.c / brentford f.c /
Au vitabu vya ngono/ uchi / pornographic
 
Vitabu vya mpira klabu za uingereza kama charlton f.c / watford f.c / preston lancashire f.c / brentford f.c /
Au vitabu vya ngono/ uchi / pornographic
Charity begins at home.....ndo unachowaza,mbona guys wengine wameelewa so tuseme wewe ndo great thinker than others,??? Smoking

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulichoandika ni sahihi kweli????kwan mada ilikua ni kunisaidia majina ya timu na izo pornography????we mtu mzima bana just nenda straight kwa ulichoulizwa sa unaleta ujuaji mwingi wa nn....bushit it mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Eti mimi mtu mzima mimi ni mtoto mdogo bado nina miaka 21 ila nimeacha chuo mwaka wa kwanza nchini uingereza, chuo cha universty of cambridge sasa hivi niko mitaa ya pink pool kuna timu ndogo ya daraja la 3 ninataka kujiunga nayo karibu mzee baba huko bongo siji nasikia maisha yamebana sana, bora nikomae huku ipo siku nitacheza timu ya TOTTENHAM / MANCHESTER CITY.
 
All the best

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom