Msaada wa 3G kwenye Tecno Tablet Pad 7c

Phd Hewa

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2016
Posts
572
Reaction score
466
Habari Zenu
Kama kichwa cha habari kilivyo nimejitahidi ila nimechemka

Kinachonishangaza ni Kwamba Line Zinge Zina Support 3g
Lakini TIGO hai support 3g ina andika E.
 
Nikiweka 3g only Network Inahama kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…