Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,602
- 7,344
Ukiitoa DIT naomba ushauri katika hivi vyuo vifuatavyo ni kipi sitajuta kama mhusika atafanikiwa kupata udahili na yeye akaenda kusoma itakiwavyo. Ufaulu wake ni C(3) na D (4) pamoja na English (C) na B.Math(D), Physics na Chemistry ana (D). University Computer Center (Dar), ATC (Arusha Technical College), UDOM (Dodoma), Unique Academy (Dar) na IFM (Dar). Mhusika anataka kwenda kusoma ICT Certificate/Diploma. Je kuna chuo kingine Dar tukifikirie?