Msaada: Vyuo vya afya Dodoma na Dar es salaam

Msaada: Vyuo vya afya Dodoma na Dar es salaam

mwenyewe joseph

Senior Member
Joined
Nov 1, 2016
Posts
104
Reaction score
25
Hey guyss:
Za mida jamani
Samahan naomba msaada orodha ya vyuo vya afya vya private kwa mkoa wa DODOMA na DAR ambavyo nitaweza kusoma course zifuatazo;

1. ORDINARY DIPLOMA IN PHARMACETICAL SCIENCE

2 ORDINARY DIPLOMA IN NURSING

3. MEDICAL LABORATORY

Matokeo yangu hayo hapo
Phy. D
Chem C
Bios. B
Engl. D
Math. E
Je naweza sajiliwa kwa kozi mojawapo hapo juuu kwa matokeo yangu yalivo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chukua guide book ya NACTE kuna kila kitu
 
Mi hayo mambo ya kusoma nimeshasahau pia MKUU nalima mahindi sasa matokeo yangu hayatasaidia kitu ila nime comment kutokana na watu ambao walikosa ninao wafahamu
Mkuu ujuaji mwingi hausaidii hata unauhakika gani hawezi pata kwani wewe msemaji wa nacte???
 
Mkuu ujuaji mwingi hausaidii hata unauhakika gani hawezi pata kwani wewe msemaji wa nacte???
Sawa wakubwa yaishe comment yangu haiwezi badilisha kitu chochote kwa jamaa ni maoni yangu tu basi
 
Kuna tatizo gani ukasoma chuo ambacho kimesajiliwa na nacte huku akija approved na balaza LA famasi kwa kozi za pharmacy,,mfano wa chuo hicho ni st.joseph university college of health science msaada mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama unajua dhahiri kwamba hiki chuo kina walakini kwann usiende chuo kingine ambacho kimekidhi vigezo vyote..?
 
Back
Top Bottom