Jamani naombeni msaada kuhusu internet ya Voda.Line yangu ina bundle na extra credit pia kama 800 hivi,3G signals zipo na very strong.Nikijaribu kuconnect inaconnect lakini inaonyesha NO INTERNET ACCESS,nikifungua kwenye networks.Pia nikijaribu kufungua webpage yoyote inakataa.Tafadhali naombeni msaada kwa yoyote anayejua solution!!..