Msaada; viruse kwenye FLASH DISK

Msaada; viruse kwenye FLASH DISK

CompaQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
281
Reaction score
134
Habarini
wataalamu nina tumia Ant virusi ya Microsoft Security Essential kwenye PC yangu lakini kuna mtu alichukua flash yangu karudishwa ikiwa na documents tatu format ya Word
nazo zimeandikwa
1.assignments
2.Business Ideas
3.software Keys

ukizifungua hazifunguki; ukifuta zinapotea kwa muda kisha zinarudi, ukifomat Flash yote zinapotea kwa muda tu kisha zinarudi tena baada ya muda nimejaribu ku scan kwa hiyo Anti virusi lakini inaonyesha iko safi masaada jinsi gan nitaziondoa ndani ya flash

Heshima kwenu
 
Format kwa command
Bonyeza cmd kwenye start itakuletea command page then andika DISKPART italeta hard drive zote including hiyo ya flash chagua hiyo yako kwa kuandika select volume (ya jina la flash ysko) then andika format...hapo baada ya muda itakuwa as good as new
 
Back
Top Bottom