msaada virus wananitesa.

msaada virus wananitesa.

deecharity

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
936
Reaction score
515
Habari.. Kuna aina ya folders zimejicreate kwa majina haya SYSTEM VOLUME INFORMATION NA RECYCLE.BIN nikiweka flash vinahamia kwenye flash na nimejaribu kuscan ila hamna kitu naomben msaada wa kuviondoa bila kuformat computer.
 
Get a better Antivirus software(AVG2013 is kinda nice)! Vinginevyo utakua unafanya kazi ya kutawaza bata
 
Weka microsoft essentials antivirus ni bure kabisa idownload
 
Asanten ntarudi na feedback baada ya kuyafanyia kazi mawazo yenu.
 
hizo SIO virus ni folders zinazotumika kutunza kumbukumbu za mfumo mzima pamoja na recycling infos. kwa kawaida huwa zipo hidden unless kama umechagua kuwa unaziona system files via folder option in Control Panel
 
Hata mimi ninatatizo linaelekeana na hilo,

Kuna kitu kinachojiweka chenye jina la "00 Peuples_Congolais,Cesi...." kila nikifuta kinarudi, nikiscan hakitoki, what should I do?

Natumia NOCTION ANTIVIRUS as comp yangu ni window 8. Nifanyeje?

CC: Nyasiro
 
hiyo antivirus gani au unamaanisha Norton?
hiyo file inajiweka wapi?

Ili kukifuta kisirudi lazima ujue kinatokea wapi.
Download hii software inaitwa UnlockIt: Downloads - UnLock IT hii itakusaidia kujua hilo file linatengenezwa au liko locked na application gani then una-delete hiyo application. njia mbadala ya unlockit ni Unlocker
 
Habari.. Kuna aina ya
folders zimejicreate kwa majina haya SYSTEM VOLUME INFORMATION NA
RECYCLE.BIN nikiweka flash vinahamia kwenye flash na nimejaribu kuscan
ila hamna kitu naomben msaada wa kuviondoa bila kuformat
computer.

aaaah,nilijua vya ngoma nikupe tiba ya ukweli kuliko ya samunge,download microsoft essential kaka,ni ya free,ipo poa mno
 
Habari.. Kuna aina ya folders zimejicreate kwa majina haya SYSTEM VOLUME INFORMATION NA RECYCLE.BIN nikiweka flash vinahamia kwenye flash na nimejaribu kuscan ila hamna kitu naomben msaada wa kuviondoa bila kuformat computer.

Jitahidi ununue macbook air, ndio mwisho wa matatizo kama hayo. Otherwise tafuta mtaalaam wa PC kama Kimox Kimokole huku JF akusaidie (Mtumie ujumbe, PM)
 
Ume - enable option ya 'show hidden folder' kwa computer yako. Jinsi ya ku - hide inatofautiana kulingana na os unayotumia. Hizo ni systems files!
 
Ndiyo maana naipenda jamiiforum.Ukipata shida yoyote ukaileta humu jamvini unapata ufumbuzi mara moja
 
hiyo antivirus gani au unamaanisha Norton?
hiyo file inajiweka wapi?

Ili kukifuta kisirudi lazima ujue kinatokea wapi.
Download hii software inaitwa UnlockIt: Downloads - UnLock IT hii itakusaidia kujua hilo file linatengenezwa au liko locked na application gani then una-delete hiyo application. njia mbadala ya unlockit ni Unlocker

Asante, nilikosea kutyp...ni NORTON. Hiyo file inajiweka kwenye flash au any USB device, nilianza kuiona baada ya kuchomeka flash nikitokea stationary, tangu siku hyo nikiweka flash yeyote ile kwny comp yangu lazima hyo faili ionekane na hata nikifuta inarudi muda huo huo!
 
Back
Top Bottom