Msaada vipimo vya Typhod

dm2000inter

Member
Oct 27, 2010
29
10
Hello JF,
Naomba msaada wa tafsiri ya vipimo hivi vya maabara.
Nimefanya Widal test majibu yakasema STO 1:40 na STH 1:160. Naomba kufahamu majibu hayo yanamaanisha nini na kama kuna ushauri wa kitabibu tafadhali nijulisheni wana JF.
Asanteni
 
Pole kwa kuugua
Kwanza kabisa siku hizi Widal test imethibitishwa kuwa ina low sensitivity na haifai katika kugundua kiuhakika kama kweli una typhoid.. Kwa widal test hiyo inaonekana kama una mild typhoid, lakini kipimo kizuri cha typhoid ni culture ambapo sehemu chache nadhani wanafanya hii dar..
 
Back
Top Bottom