JAMBONIA LTD
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 584
- 273
Habari wakuu! Mimi ni mwalimu katika shule binafsi..nna mpango wa kwenda kufundisha nje ya nchi ila wanahitaji teaching license kutoka ktk nchi yangu.Je hapa kwetu kuna utaratibu huo wa kutoa teaching license kwa walimu wazawa? Kuna utaratibu gani kuipata? Kwa anayefahamu hii kitu anidadavulie tafadhali na ahsanteni.