Asanteni sana nmeenda hosptal nmegundulika nna genital warts n sasa nachoma cndano ya kuremove
Maendeleo vipi kuhusiana na tatizo lako?
Asanteni sana nmeenda hosptal nmegundulika nna genital warts n sasa nachoma cndano ya kuremove
Naendelea vzuri namshukuru Mungu
Nenda hospital tu kaonane na docta ..muonyeshe avione atakupa jibu
Wavichome na nini
Ndio hao hao