Msaada vifaa vya sola

Egwugu

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
17,558
Reaction score
8,556
Wajuvi naomba kujuzwa kama upo uwezekano wa redio kubwa maarufu sub woofer isiyo na njia ya kutumia solar kuweza kufanyiwa utaratibu ikaweza kutumia solar.

Nauliza hivi kwa maana kuna baadhi ya vifaa unaambiwa nunua waya ama cable fulani labda valisha ama unga sehemu fulani kisha unaweza kuanza kutumia, je kwa mazingira ya hivi inaweza ikatumika hata kwa sub woofer isiyo na njia ya sola?
 
Msaada tafadhari
 
Nadhani kutakuwa na inventory za kuchagua DC an AC jaribu kwenda kwenye maduka uangalie invitor itakayo ingiza AC na kutoa Dc
 
Ulishapata msaada?
Nenda kwa fundi abadili mfumo ndani ya redio.
Huwa tunasuka small inverter. Na inakaa ndani ya sabufa yako. Gharama ndogo
 
Nunua inverter mkuu, ukishindwa nenda kwa fundi akutengenezee ili itumie dc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…