lossoJR
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,711
- 2,383
habari wakuu,nimeona nililete mbele yenu ili kuweza kukutana na wenye uwezo wa kifedha au kimawazo ili kuweza kufanikisha lengo langu la kua na Min-studio kwaajili ya kurecord hasa comercial adverts,radio jingles na film/movie sound tracks,na pengine music(ziada maana si biashara sana kwa sasa). Nikatika utaratibu wa kujitafutia Ajira kupitia Kazi za mikono yangu