Msaada:video gamers

efrankmwandy

Member
Dec 1, 2016
93
50
nmeinstall call of duty black ops nkifungua lnaniambia hivi
1494427642827.jpg
 
Inaonekana umedownload cracked version.
Unahitaji software ya steam ili kucheza hilo game, alafu lazima uwe na steam account. Kama ulikua unachakachua then inabidi utafute crack nyingine ambayo wameblock hadi steam, hiyo uliyonayo huchomoki. Google steam uone steam ni the world biggest store for games.
 
paste dll za steam toka crack folder kwenye hilo game, kama hata hujui crack folder ni nini tuma screenshot ya folder la setup ambalo ulitumia kuinstall hilo game
 
Hapo ishu ni crack tu copy crack kutoka main game ulio download kisha ukaexract kapaste ulikoinistall game.
 
Inaonekana umedownload cracked version.
Unahitaji software ya steam ili kucheza hilo game, alafu lazima uwe na steam account. Kama ulikua unachakachua then inabidi utafute crack nyingine ambayo wameblock hadi steam, hiyo uliyonayo huchomoki. Google steam uone steam ni the world biggest store for games.
steam nmeshainstall na kufungua account nataka niistall upya game
 
Back
Top Bottom