habari zenu wana jamvi , wakuu naomba msaada wenu natumia window 8.1 pro.
nilikuwa natumia viber ambayo inapatikana store nika uninstall sasa najalibu kuinstall tena napata ujumbe huu YOUR PURCHASE COULDN"T BE COMPLETED, nashindwa elewa maana hizi apps ni free, msaada wakuu