hello wadau wote wa jf, napenda kufahamu ni wapi hapa dar ninaweza ku-change ile mikanda ya matofali (vhs) kuwa dvds? Ninaomba msaada kujuzwa kwa yeyote yule mwenye kufanya hiyo kazi au kama una-fahamu popote uniambie, ninashehena kubwa nataka kuichange. Pia ikiwa unafahamu bei ya ku-change vhs, tafadhali nijuze!
Asateni kwa ushirikiano wenu!
Uni PM nimeshapata mtu ikiwa bado unahitaji@ Pemgtoonet.com
Nenda pale Kariakoo mtaa wa Agrey, kuna jamaa mmoja anaitwa Tesha anauza radio, TV, na ni fundi electronics, ukiulizia hilo jina atakusaidia. Nilikua na namba yake,but nimeshapoteza..
Uni PM nimeshapata mtu ikiwa bado unahitaji@ Pemgtoonet.com
Badilisha kaseti VHS kuwa DvDHello wadau wote wa JF, napenda kufahamu ni wapi hapa Dar ninaweza ku-change ile mikanda ya Matofali (VHS) kuwa DVDs? ninaomba msaada kujuzwa kwa yeyote yule mwenye kufanya hiyo kazi au kama una-fahamu popote uniambie, ninashehena kubwa nataka kuichange. Pia ikiwa unafahamu bei ya ku-change VHS, tafadhali nijuze!
Asateni kwa ushirikiano wenu!
Badilisha kaseti VHS kuwa DvDnami pia nahitaji huduma hiyo...nimetoa tangazo humu kama mara 2 hivi, sikupata mtu. Ukimpata nijulishe pia
Badilisha kaseti VHS kuwa DvDnaomba uni pm namba zako nikucheki. nahitaji kubadili vhs to dvd. msaada
Badilisha kaseti VHS kuwa DvDSikumbuki mtaa vizuri, but ukiwa mtaa wa msimbazi kuelekea police station, unahesabu kama mitaa miwili kushoto halafu unakatisha kwenda kukutana na aggrey street. Ukifika maeneo hayo ulizia Tesha, wengi wenye maduka wanamfahamu. Hata Mimi nilielekezwa kwa style hiyo.. So try
Badilisha kaseti VHS kuwa DvDmtaa wa aggrey upo pande zipi mkuu? jaribu kutoa direction tafadhali. hata mimi nina rundo la kanda za tape nataka kuzibadilisha kuwa cd. pale kariakoo karibu na shimoni kuna studio moja niliwahi kurekodi kanda yangu pale miaka ya 90's sijui kama bado wapo.
Badilisha kaseti VHS kuwa DvDNenda pale Kariakoo mtaa wa Agrey, kuna jamaa mmoja anaitwa Tesha anauza radio, TV, na ni fundi electronics, ukiulizia hilo jina atakusaidia. Nilikua na namba yake,but nimeshapoteza..
Badilisha kaseti VHS kuwa DvDNa mm shida yangu kubadili kanda(tape) za bendi zetu za zamani kuwa audio, kama kuna mtaalamu aniPM.