Msaada:Uzee Unanivuruga Akili!!

Msaada:Uzee Unanivuruga Akili!!

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,831
Hapa Niko Nafikiria Habari Za Kuzeeka Zilivyo Na Viraka, Shuzi Linanitoka Ninapowaza Zile Stage Za Mikongojo Na Ngozi kuchoka, Ooops. Mbaya Zaidi Hata Mashine Nayo Inablock, Ina maana Watoto Wazuri Itakuwa Basi Tena?

Hivyo Kifo Hakizuiliki Lakini Hata Uzee Jamani? No, Lazima Uzee Uzuilike Sasa Wadau, Kama Kuna Mtu Anajua Mbinu Au Dawa Anisaidie Ili Niendelee Kuwa Kamili.

Jigo
 
Hapa Niko Nafikiria Habari Za Kuzeeka Zilivyo Na Vilaka...
Shuzi Linanitoka
Ninapowaza Zile Stage Za Mikongojo Na Ngozi kuchoka
Ooops........Mbaya Zaidi Hata Mashine Nayo Inablock ..Inamaana Watoto Wazuri Itakuwa Basi Tena Hivo

kifo Hakizuiliki Lakini Hata Uzee Jamani?.......Noooo.....Lazima Uzee Uzuilike
Sasa Wadau, Kama Kuna Mtu Anajua Mbinu Au Dawa
Anisaidie Ili Niendelee Kuwa Kamili
Jigo

u make me smile vp mvi zinakuja nn au michirz uson
 
Mkuu kuhusu mashine kuna maviagra na faru dume aka ngosha 11 mashine haitachoka utawala tu wajukuu wako!
 
Mkuu kuhusu mashine kuna maviagra na faru dume aka ngosha 11 mashine haitachoka utawala tu wajukuu wako!

Mkuu Viagra Nasikia Vinaweza Kusababisha Ukawa R.I.P Kifuani
Kama Yule Bilionea Wa Bukoba
 
Mazoezi na chakula bora. No bear no smoking! Kama ulikuwa mvivu na hivi vitu ujanani, kazi unayo!
 
Alama kubwa ya kuogopa mzee na kujinyanyapa ni kuzibadili nywele nyeupe(MVI) kuwa nyeusi !

TUJIVUNIE UZEE KAMA LOWASSA.
 
omba ufe leo, da! ila 2kikupoteza kijana kama ww mbona hasara lakin kwa vile umependa ww aina shida.
 
Back
Top Bottom