PerfectJinsi ya kuongeza nguvu za kiume.
Kwanza unatakiwa ujue kwamba hakuna dawa ya kuongeza nguvu za kiume Bali zipo za kubusti tu na kukupa power kwa wakati husika,
Pili unatakiwa ujue kwamba ukishaanza kumeza dawa za kubusti wenyewe ndio mnaziita za kuongeza nguvu za kiume basi ujue wewe ni kama mgonjwa wa dawa za kulevya hauwezi kuperform mpaka ujibusti na dawa.
Hakuna mwenye upungufu wa nguvu za kiume wa kudumu Bali stress za maisha,Cycology ya mtu aliyojijengea na baadhi ya vyakula ndio vinavyosababisha
Fanya yafuatayo wish utakuwa Normal tu.
1: kunywa Maji mengi kila siku
2 :Fanya mazoezi
3:kula ushibe hapa ni pa kuzingatia sana siyo kila vyakula unafakamia tu.
4:Ondoa mawazo ya kwamba hauna nguvu za kiume.
5:Ralaxe na ujikubali kwamba hauna hilo tatizo.
NB;Achana na matapeli wanaosema wana dawa za kuongeza nguvu za kiume wakati dawa kuu ya Nguvu za kiume ni wewe mwenyewe.!
Source : Jamii Forum
Umetema point za maana sana!! Natafakari tu kama huyo aliyenaye sasa ni mke wake, sijui itakuwaje!!! Ila kama ni demu, afanye haya uliyomshauri na atafute binti mwingine pembeni ataona "nguvu ya buku"
Umeeleza vizuri ila simshauri amuache uyo dem, anatakiwa atulize akili yake hapo hapo.Huna tatizo la upungufu wa nguvu za kiume...namaanisha hauna tatizo hilo...kama ungekuwa na Tatizo hilo usingesimamisha kabisa hilo Rungu...chamsingi umeshapata fedheha kubwa kwa huyo mwanamke muache haraka sana, ata ukiendelea naye bado utakuwa unakumbuka jinsi mechi za nyuma zilivyokuwa zinakushinda....hivyo ukimuacha, ukianza mazoezi madogo madogo ya viungo kama kukimbia, kuruka kamba, kichura chura, hakikisha unafanya mazoezi hadi mwili unayazoea mazoezi, kula vyakula asilia Tangawizi, mbegu za maboga, ugari wa dona au mtama, matunda ndizi, matango, matikiti, parachichi, kunywa sana maziwa ya mgando ukiweza changanya na Tende vile vile usisahau kutumia asali angalau mara moja kwa siku.....ukiweza hayo tafuta msichana mrembo unaye mpenda ila awe mpya ambaye hujawahi kuanzisha naye mahusiano....kwenye tendo la ngono acha pupa kabisa...pupa ukuongezea wasi wasi...na mwisho wa wasi wasi ni kushindwa kulimudu tendo...nguvu unazo tatizo wasi wasi ndo unakumaliza...pole sana Mungu akusaidie
Kingine wanachoweza kufanya kuongezea haya uliyoelezea ni kwenda logde nzuri au hotel kabisa!! Kubadilisha mazingira huwa kunaamsha sana asikwambie mtuKama ni mke wake, wala asiogope chochote. Ajithibitishie mwenyewe kuwa hana stress yeyote ile akili imetulia. Pili, awe ana pesa mfukoni, ajinunulie kitu chema ambacho roho inataka amletee mkewe akipike wale wawili wakiwa hawana nguo nyingi mwilini. Wakaoge pamoja na mambo kama hayo. Asiwaze lolote kuhusu ilikuwaje jana na juzi. Pia wabadili mitindo. Sio kila siku kifo cha mende. Utundu ni kitu cha maana sana kwenye hili tendo.
Naamini humu mko poa kabisa.
Kuna tatizo limenianza wiki sasa yaani uume unasimama vizuri ila pale napo taka kufanya mapenzi tu unaanza kulala, hili tatizo halikuwepo limeanza ni kama wiki na sasa.Yaani Uume unasimama na unakuwa mgumu kabisa ila ninapo anza sasa kuandaa mwenzangu unakuwa unaaza kusinyaa.
Naomba wajuvi mnisaidie nini shida make kwenye vyakula sina shida yoyote ile na kumbuka uume si kwamba hausimami unasimama hata wakati wowote ule shida ni hapo tu.
Kwa sasa hata mwenzangu anashangaano ni kitu gani kimetokea ghafla hivyo.[/QUOT
Naamini humu mko poa kabisa.
Kuna tatizo limenianza wiki sasa yaani uume unasimama vizuri ila pale napo taka kufanya mapenzi tu unaanza kulala, hili tatizo halikuwepo limeanza ni kama wiki na sasa.Yaani Uume unasimama na unakuwa mgumu kabisa ila ninapo anza sasa kuandaa mwenzangu unakuwa unaaza kusinyaa.
Naomba wajuvi mnisaidie nini shida make kwenye vyakula sina shida yoyote ile na kumbuka uume si kwamba hausimami unasimama hata wakati wowote ule shida ni hapo tu.
Kwa sasa hata mwenzangu anashangaano ni kitu gani kimetokea ghafla hivyo.
Pole kwa tatizo, pima magonjwa nyemelezi kama uko safi, em jaribu vitu vifuatavyo vinaweza kukusaidia.
1. CHUKUA TANGAWIZI ZIMENYE UJAZO WA KIGANJA KISHA KATA VIPANDE VIDOGOVIDOGO,CHUKUA VITUNGUU SAUMU VILE VIDOGOVIDOGO MENYA UJAZO WA KIGANJA KISHA KATA KIDOGOKIDOGO.CHUKUA TANGAWIZI HIZO CHANGANYA NA VITUNGUU SAUMU KWENYE BAKURI SAFI KISHA PATA ASALI MBICHI NUSU LITA HAKIKISHA ASALI HIYO NI MBICHI.CHANGAYA KWENYE MCHANGAYIKO WAKO WA KITUNGUU SAUMU+TANGAWIZI.ACHA MCHANGANYIKO HUO KWA MASAA KUMI NA MBILI KISHA TUMIA VIJIKO VIWILI VYA CHAKULA ASUBUHI KABLA YA KULA KITU CHOCHOTE NA USIKU KABLA KA KULALA KWA MUDA WA SIKU SABA TATIZO LITAKWISHA IN SHAA ALLAH.
2. CHUKUA ASALI LITA MOJA CHANGANYA NA HABBAT-SODA YA UNGA KIASI CHA KIGANJA CHA MKONO CHANGAYA NA ASALI KOROGA HADI KUCHANGANYIKE VIZURI KISHA ACHA MCHANGANYIKO HUO KWA MUDA WA MASAA 12.ANZA KUTUMIA VIJIKO VIWILI VIKUBWA VYA CHAKULA ASUBUHI NA JIONI KWA MUDA WA WIKI MOJA KISHA LETE MREJESHO HAPA.
Lete maendeleo yako hapa baada ya matumizi.
Weka mbali na watoto.
Uko sahihi mkuuJinsi ya kuongeza nguvu za kiume.
Kwanza unatakiwa ujue kwamba hakuna dawa ya kuongeza nguvu za kiume Bali zipo za kubusti tu na kukupa power kwa wakati husika,
Pili unatakiwa ujue kwamba ukishaanza kumeza dawa za kubusti wenyewe ndio mnaziita za kuongeza nguvu za kiume basi ujue wewe ni kama mgonjwa wa dawa za kulevya hauwezi kuperform mpaka ujibusti na dawa.
Hakuna mwenye upungufu wa nguvu za kiume wa kudumu Bali stress za maisha,Cycology ya mtu aliyojijengea na baadhi ya vyakula ndio vinavyosababisha
Fanya yafuatayo wish utakuwa Normal tu.
1: kunywa Maji mengi kila siku
2 :Fanya mazoezi
3:kula ushibe hapa ni pa kuzingatia sana siyo kila vyakula unafakamia tu.
4:Ondoa mawazo ya kwamba hauna nguvu za kiume.
5:Ralaxe na ujikubali kwamba hauna hilo tatizo.
NB;Achana na matapeli wanaosema wana dawa za kuongeza nguvu za kiume wakati dawa kuu ya Nguvu za kiume ni wewe mwenyewe.!
Source : Jamii Forum
Mwenzio anasema Network haipandi wewe unasema Nguvu za kiume......wewe vepe.....???Jinsi ya kuongeza nguvu za kiume.
Kwanza unatakiwa ujue kwamba hakuna dawa ya kuongeza nguvu za kiume Bali zipo za kubusti tu na kukupa power kwa wakati husika,
Pili unatakiwa ujue kwamba ukishaanza kumeza dawa za kubusti wenyewe ndio mnaziita za kuongeza nguvu za kiume basi ujue wewe ni kama mgonjwa wa dawa za kulevya hauwezi kuperform mpaka ujibusti na dawa.
Hakuna mwenye upungufu wa nguvu za kiume wa kudumu Bali stress za maisha,Cycology ya mtu aliyojijengea na baadhi ya vyakula ndio vinavyosababisha
Fanya yafuatayo wish utakuwa Normal tu.
1: kunywa Maji mengi kila siku
2 :Fanya mazoezi
3:kula ushibe hapa ni pa kuzingatia sana siyo kila vyakula unafakamia tu.
4:Ondoa mawazo ya kwamba hauna nguvu za kiume.
5:Ralaxe na ujikubali kwamba hauna hilo tatizo.
NB;Achana na matapeli wanaosema wana dawa za kuongeza nguvu za kiume wakati dawa kuu ya Nguvu za kiume ni wewe mwenyewe.!
Source : Jamii Forum
Kunywa wine japo glass mbili,Naamini humu mko poa kabisa.
Kuna tatizo limenianza wiki sasa yaani uume unasimama vizuri ila pale napo taka kufanya mapenzi tu unaanza kulala, hili tatizo halikuwepo limeanza ni kama wiki na sasa.Yaani Uume unasimama na unakuwa mgumu kabisa ila ninapo anza sasa kuandaa mwenzangu unakuwa unaaza kusinyaa.
Naomba wajuvi mnisaidie nini shida make kwenye vyakula sina shida yoyote ile na kumbuka uume si kwamba hausimami unasimama hata wakati wowote ule shida ni hapo tu.
Kwa sasa hata mwenzangu anashangaano ni kitu gani kimetokea ghafla hivyo.
Ataepukanaje na stress wakati yuko katika hii dunia full of stress!!!Labda cha kufanya ni kumsaidia kukabiliana na stress kama unavyofanya wewe!!!Acha kabisa hiyo kitu mzee omba mungu akuepushilie mbali