social_science
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,104
- 1,262
wakuu nimekua nasumbuliwa na tatizo la kujirudia kwa UTI licha ya kutumia dawa mara tatu kwa vipindi tofauti nakuwa pia na dalili za uchachu mkali kinywani kwa muda mrefu
Nitafute mimi nikupe dawa utumie siku 21 upate kupona.Ukihitaji dawa zangu.wakuu nimekua nasumbuliwa na tatizo la kujirudia kwa UTI licha ya kutumia dawa mara tatu kwa vipindi tofauti nakuwa pia na dalili za uchachu mkali kinywani kwa muda mrefu