Msaada utaratibu wa uhamisho Kisheri

Maarab

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2017
Posts
415
Reaction score
257
Tafadhali..husikwa na Mada tajwa hapo juu..
Kuna Mwanafunzi wa Sekondar inatakiwa afanyiwe Uhamisho toka Shule Moja ya Mkoani kwenda Wilayani..

Mkuu wa Skonga yaMkoani anadai kule anaenda inatakikana aje na barua yaSkuli aendayo ikiwa Mhuri.

Vilevile na kwahuyu Mkuu wa Skuli Wilayani anasema huwa hawatowi barua yoyote khs Uhamisho..KizunguZungu tupu!

yaani Utaeza mpiga mtu asee

Labda ni Mimi Sjui taratibu nini...Sasaa ni zipi tafadhali this is too much trouble..

Wakuu Wenyewe wa Skuli hawatoi ushirikiano wowote

inafkia hatu nahisi maybe inatakiwa ni"Do somethin"

Tadhali ni zipi taratibu za Kisheria khs Uhamisho Mw/funzi???.

Ahsante nawasilisha:
 
barua inaandikwa kwenda kwa Mkuu yupi sasa...na yupi kati ya hao atae anza kuandikiwa barua na Je,ni mi binafsi naandika ama Mkuu kati ya hao?
 
mi nimekuelewa..na nilfanya km vile umeainisha hapo kwnza ilienda kwa hio Shule Mkoani akasema.."kule aendako inatakiwa wakupe barua yenye sign then nimpelekee Mkuu waMkoani ndio aidhinishe Uhamisho..

Cha ajabu huyu Mkuu waWilayani naye anadai hizo
taratibu hamnaga,sasa nashindwa kuelewa which is which..asee!!
 
hapo ujanielewa Kiongozi ni Mkuu wa Wilayani na Mkoani yaani Mw/Mkuu Mkoani na Wilayani.
thankx Ushirkiano wako.
 
anayekukwamisha ni mwenye nafasi mi nimehamisha kijana wangu toka simiyu kumleta morogoro nishakamilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…