Msaada Utaratibu wa kuapply chuo kingine kwa undegraduate aliye disco

Joh666

Member
Aug 1, 2014
38
4
Naomba kujua utaratibu wa kuaplly chuo kingine endapo umedisco katika chuo husika wakuu.
 
Kama ulijiunga kupitia tcu inabidi uwaandikie barua kuwajulisha kua umedisco na upeleke matokeo yako au barua ya chuoni kuthibitisha umedisco ili wafute ac yako ile ya zamani kisha ujisajili upya maana kumbukumbu zako zipo pale.

Vinginevyo usubiri hadi muda uliotakiwa umalize elimu yako ufike ndio uombe upya. Hii pia ni kwa wale waliochaguliwa chuo alafu hawakwenda kwa sababu mbalimbali na wanataka waombe upya kwa mwaka unaofuata.

Hii ni kuepuka watu kutumia vyeti vya wengine kwenda chuo.

N.B. Utaratibu huo hapo juu ni iwapo umejaribu kujisajili kwa njia za kawaida ukashndwa,maana wengine huwa wanaweza bila kupata usumbufu.

Nadhani hii imesaidia kidogo.
 
ila waliochaguliwa chuo na hawakusajiliwa hapo chuoni hakuna shida waki apply upya maana wao hawahesabiki kuwa ni wanafunzi wa chuo chochote hata kwa HESLB ni hivi hivi, shida ni pale unapokuwa registered afu ukaahirisha mwaka wa masomo.

Ukitaka kuomba upya itakusumbua sana.
 
ila waliochaguliwa chuo na hawakusajiliwa hapo chuoni hakuna shida waki apply upya maana wao hawahesabiki kuwa ni wanafunzi wa chuo chochote hata kwa HESLB ni hivi hivi..,shida ni pale unapokuwa registered afu ukaahirisha mwaka wa masomo.ukitaka kuomba upya itakusumbua sana

Hapana,tcu wakikupangia chuo wanajua umeenda, maana uwe registerd au unregisterd vyuo havitumi majina ya registerd na un registered tcu.

Kwa hiyo wewe ndio unatakiwa uwaambie hukuenda hicho chuo. Ac yako ya zamani inakua ipo na inaonyesha chuo ulichoenda.

Lazima uwajulishe kua hukuenda na utoe sababu mfano ulikosa udhamini au vingnevyo.
 
Hapana,tcu wakikupangia chuo wanajua umeenda,maana uwe registerd au unregisterd vyuo havitumi majina ya registerd na un registered tcu. Kwa hiyo wewe ndio unatakiwa uwaambie hukuenda hicho chuo. Ac yako ya zamani inakua ipo na inaonyesha chuo ulichoenda.

Lazima uwajulishe kua hukuenda na utoe sababu mfano ulikosa udhamini au vingnevyo.

labda lakini ila nina ushahidi wa washikaji zangu tuliomaliza nao f6 2012 wakawa admitted vyuo flani kwa kozi wasozitaka kisa competition so washikaji hawakwenda na wakarisit mtihani ili waongeze sifa bahati tokeo likaja fresh waka apply upya mwaka jana wakapata admission muhas bachelor of pharmacy wote wawili without any disturbance na ndo wanamaliza first year mwezi huu...
 
We mwenyewe umeshasema waliongeza sifa,ina maana walijisajili upya kwa kuingiza details mpya,mfano waliweka mwaka wa kumaliza kidato cha sita mwingine tofauti na ule wa awali. Hapo huwezi kupata matatizo ila kama unataka kutumia details zile zile za awali lazma ufuate utaratibu niliosema hapo juu.
 
Umedisco chuo gani shehe?ulizuzuka na mademu wa chuo co?
 
Nimedisco UDOM nataka njaribu kuomba Mzumbe! Au Vice versa inaweza kua True.
 
We mwenyewe umeshasema waliongeza sifa,ina maana walijisajili upya kwa kuingiza details mpya,mfano waliweka mwaka wa kumaliza kidato cha sita mwingine tofauti na ule wa awali. Hapo huwezi kupata matatizo ila kama unataka kutumia details zile zile za awali lazma ufuate utaratibu niliosema hapo juu.

tunaweza kupata muafaka katika hili ujue waliweka the same details including the same f6 index number but they later added another new f6 seat so the exam results of both year 2012&'13 were displayed in their profiles.,labda kilichowaokoa ni kwa kuwa wali-risit
 
Nimedisco UDOM nataka njaribu kuomba Mzumbe! Au Vice versa inaweza kua True.

Hahhahahaa yaani umedisco UDOM afu unataka MZUMBE??? Kwangu ni sawa umeruka kinyesi cha kuku uka kanyaga cha mwanadamu kuwa makini na uchaguz wako

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Nimedisco UDOM nataka njaribu kuomba Mzumbe! Au Vice versa inaweza kua True.

kama udom umepashindwa.bora uombe vyuo vya kizembe zembe kama saut au tumauni.afu umedisco vp,ni gpa imekua ndogo au una incomplete.
 
Kama umedisco UDOM bora uklime tu shule huwezi..nenda kalime mbaazi
 
kama udom umepashindwa.bora uombe vyuo vya kizembe zembe kama saut au tumauni.afu umedisco vp,ni gpa imekua ndogo au una incomplete.

Hayo yanakuhusu nini?umbea tu!amedisco yeye wewe unawashwa kwenye inye kwani ni mume wako?
 
Back
Top Bottom