Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,811
- 95,714
[emoji1][emoji1] jamaniMara yako ya mwisho ulilamba nini
[emoji1][emoji1] jamaniMara yako ya mwisho ulilamba nini
Vipi[emoji1][emoji1] jamani
Hiyo inaitwa Angular Cheilitis
Tumia b complex au multivitamin.
Hiyo inasababishwa na ubungufu wa
vitamini B
Ukiona haiponi inaweza kuwa ni fungus .. hivyo tafuta antifungal medication.
Sent using Jamii Forums mobile app
Comment imenishtuaVipi
Comment imenishtua
Yes nilitaka pia nimshauri atumie vitamin B complexHiyo inaitwa Angular Cheilitis
Tumia b complex au multivitamin.
Hiyo inasababishwa na ubungufu wa
vitamini B
Ukiona haiponi inaweza kuwa ni fungus .. hivyo tafuta antifungal medication.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliingia uvinza nn? Maana miezi hii kwa Tz ni hot weather and humidy cheki na masuala ya HIV kapimeNaomba msaada , pemben ya mdomo kuna weupe hali ambayo hainifulahishi kabisa naomben msaada juu ya hiloView attachment 1009577