kwa kawaida mwanaume ukipiga bao, ubongo huwa una toa kemikali inayosababisha urelax na kukufanya hata usinzie kwa muda asa kama hii chemical haitoki utakua na tatizo, either unakula vitu vinavyosababisha excitement badala ya relaxation, vitu kama kahawa red bull, menu yenye too much spice chai au sukari soda nk. Jaribu ku avoid na kabla hujafanya sex jaribu kutengeneza mazingira ya kurelax kwanza. One hour before uwe umeshakula na kupumzika ndio uingie vitani mura.