Vp Mkuu umeshtuka nn ? Anyway, subiri wenye uzoefu waje wakujuze. Elimu Haina mwisho pambania ndoto zakoNilimaliza form six 2007, nikapata Dv II point 10 (HKL) Nina Bachelor ya Education. Natamani kusoma Law . Je Kwa mfumo wa vyuo naweza kudahiliwa mwaka huu kusoma Degree ya Sheria ?
Acha haraka utachanganikiwa,kuna Law school mkuu mnaingia 600 mnatoboa 21 sio mchezo walimu wamajipanga vilivyo pagumu sanaVp Mkuu umeshtuka nn ? Anyway, subiri wenye uzoefu waje wakujuze. Elimu Haina mwisho pambania ndoto zako