Nimetengwa na jamii kisaa nanuka mdomo jamanii hta nipige mswaki kila saa bado mdomo unanuka nmejaribu dawa nyingi lkn hakun nafuu cijapona naombeni msaada ndugu zangu wapi nitapata tiba sahibi

Nenda kwa Daktari bingwa wa kinywa pia badilisha dawa usitumie zenye floride. Tumia dawa inaitwa Alovera ile OG inauzwa 15k supermarket pia uwe unatembea na peke za karafuu mfukoni unazitafuna utarudi kunishukuru