MSAADA/USHAURI: Jina zuri la ''a baby boy''!

Hommie umebadili betri? Pale Jangwani nitapata wapi kisusio?
Hommie nilifuata ushauri wako! Hahaha hapa jangwani lodge kisusio kimeisha imebaki mkia wa kitimoto tu!
 
wajameni ninawashukuru sana!
ningependa majina zaidi......!ikibidi na maana za hayo majina wajameni

..kaka,
ikishindikana mlazimishe shemeji aupende mti na maua yake.
Mwiteni 'Junior'...kwa maana anachukua lile jina lako la asili
Geoff Jnr, wewe unabakia Snr.
 
..kaka,
ikishindikana mlazimishe shemeji aupende mti na maua yake.
Mwiteni 'Junior'...kwa maana anachukua lile jina lako la asili
Geoff Jnr, wewe unabakia Snr.
thanks MBU......!
it's lyk you know what i am thinking right nw
 
Names Gabai
Public official;...


Gabe
God is my might


Gabino
Man from Gabium


Gabinus
Man from Gabium


Gabir
Comforter, conso...


Gabko
God is my power


Gable
N/A


Gábor
God is my might

http://javascript<b></b>:;
Gabrial
God is my might


Gabriel
God is my might


Gad
Fortune; happiness


Gadadhara
SanskritWielder of the m...More...


Gaddi
My happiness


Gaddiel
God is my happin...


Gadi
My happiness


Gadiel
God is my happin...


Gadish
Stack of corn


Gaël
Name of a Celtic...


Gaelan
Calm


Gaelen
Calm


Gaelin
Calm


Gaetan
From Gaëta


Gaetano
From Gaeta


Gaffar
Merciful


Gafni
My vine


Gaganavihari
SanskritWandering in hea...More...


Gagandeep
IndianLight of the SkyMore...


Gage
EnglishMeasurerMore...


Gagnesh
IndianRuler of the skyMore...


http://javascript<b></b>:;
 
respect!......
 
Mimi kichwa kimechachuka....

Mwite GARI (siyo pikipiki wala bajaji! Ila ukichoka waweza kujaribu Georgia
 

Mkuu tunatakiwa kuwa makini sana katika hili. Unajua wengine tunafanya makosa sana kupend kuchagua majina ya wageni na kudhaarau ya kwetu. Kwani kuna ubaya gabi ukimuita UFUDU, MLOKA, MKUDE, ASHIPANGANYA, KALUNDE, JAKAYA, CHILAKA, MIRAMBO, MAGUNGO....haya ni baadhi ya majina yetu ila bahati mbaya huwezi kuyapata kwenye tweets and google. Ushauri tu.
 
BaBa Gift naona GEGEDU limekaa vizuri sana kama alivyosema Acid ukiangalia tafsiri yake ni HARD STUFF and STRENGTH
 
aaaaaaaaaah Binamu naona hiyo baba Gift inakufaa ..lakini Gift linafaa upande wa kike au wa Kiume??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…