Msaada ushauri.Bf wangu na mke wa mtu.


yaani hapo ni hivi.

hao wawili ni wapenzi na kuachana ni mpaka waamue wenyewe so ukitaka kula ukitaka acha.

kama huwezi kushare mapenzi mdogo wangu, hapo jiengue mapemaaaaa usji jilaumu ila kama unapenda sana ndoa then endelea na huyo mtu wako ila kaa ukijua mtakua wawili tu.
 
Kapimeni afya ili kujua kama hakuna kati yenu mwenye maambukizi ya VVU....mkiwa salama fanyeni mpango wa ndoa!
 
Ka mukia ka mbuzi unakawona unawuliza ananyea wapi? Heeee kabosiiii
 
Shosti ulimchunguza kuku wapi anapita na nini anakula hutomla maisha yako,na huyo B/F wako kama anataka ukweli kwanini asikuchukue na wewe ukaenda?au mpaka anashukuriwa kiss hujui kama alitoa ushirikiano mpaka shukrani za dhati amepewa
alafu anakwambia eti huyo mwanamke ndio alianza sijui,shosti minadhani amua moja ukubali kudanganywa kama yako yanakuendea na huyo bwana lakini akili mukichwa... au kama hana mana na wewe bora jipange huyo sie kabisa mwanamme kweli halazimishwi kufanya mapenzi wala ku kiss wala ku hug ebu shosti fungua macho....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…