Msaada: Usaili Ubalozi wa Marekani!


Mkuu naona kaudini kana nukia nukia.
 
Dr. kahtaan tunamiss taaluma yako mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Mkalimani unaenda naye au yupo hapo hapo ubalozini na kuna fee inayotozwa iwapo huyo mkalimani ni wa hapo ubalozini.
 

Huwa napenda sana kusoma hii coment yako hasa hapo "... jamaa fedhuli..."
 
Umekwama kwa kuwa umekiri una ndugu tuko Usa isivyo. Ungekana kumjua ujibu unaenda kivyako. Kuna watoto walinyimwa visa baada kuonyeshwa picha ya baba yao na kushangilia yes our dad, our uncle. Wakasema wamegundua watoto wanapelekwa kuwajoin wazazi waliozamia Usa. Sir name nazo huwanyima watu visa wakigundua uko Na uhusiano na mzamiaji mnaofanana majina ya mwisho.
 
UKIENDA KUOMBA VISA YA USA WAKATI MWINGINE WANAANGALIA HATA PERSONARTY YAKO,SURA NK,KM UKITAKA WAKUPE HARAKA NENDA UKIWA UMENYOA NYWELE ZAKO VZR,USO UUFANYIE SCRABING ,ANGARAU UFANANE FANANE NA MUONEKANO WA WALIOKO USA,KWENYE KUJIBU MASWALI UJIBU KWA MAPOZI TENA SERIOUS,. MWISHO KABISA KUMBUKA UDA WANA AREJI YA NDEVU
.
 
Ni rahisi kwenda mbinguni kuliko USA, ningekuwa nauwezo tungesusa kwenda kwao ili wakose wakuwabebea Box
 
Hata tukipaweka vzr bongo hakuna 50cent,rihana,Celine,jay z,.Lazima twende tu haina namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…