Sio fujo mkuu! Hembu piga picha umekwenda ubalozi wa Marekani kuomba Visa umefuga ndevu dizaini ya kina Osama halafu umevalia lile vazi jeupe juu umepiga kilemba chini umepiga Kobasi!
Halafu wao wakija bongo wanachukua visa airport. Mbambaf kabisa! Yaani hatuna thamani kabisa kwa hawa wakoloni
Hivi kama raia wa Us akitaka kuja huku huwa wanapata usumbufu kwenye balozi zao kama sisi tinavyotaabishwa huku?
Tunashkuru mungu izz. Tupo ndani ya jamvi. Kama kawaida.
Hapo hakuna visa ndugu yangu. We unasema rafiki? Mie uncle wangu kabisa ninekwama. Nimepeleka hati ya nyumba leseni ya biashara cheti cha ndoa vyeti vya kuzaliwa watoto wawili mkataba mnono wa kazi bank statement iliyonoga na clearance ya polisi. Wakasema simply 'anko wako kakaa US miaka 6 sasa ni bora yeye aje kutembelea ndugu zake na sio weww kwebda huko' jamaa fedhuli kisha akaita mutu ingine...mie nikapewa kapaspoti kangu.
Na wewe kitu kama hujui uliza ueleweshwe, kuna Viza Category nyingi, Student Viza ndiyo inahitaji uwe na Bank statement ya sponsor wako atakayegharamia masomo yako au bank statement yako kama utajigharamia mwenyewe, maybe na Tourist Viza.Acha kujidanganya wewe kinachotakiwa ukamilishe makaratasi, nenda basi umevaa msalaba halafu hauna bank statement huone kama utapata viza.
Halafu wao wakija bongo wanachukua visa airport. Mbambaf kabisa! Yaani hatuna thamani kabisa kwa hawa wakoloni
Viza ya USA ni kama ramli tu, pale ubalozini wajuaji ndio huwa wanakosa Viza kwa wingi, na wale tunaowaita mafala ndio wanaofanikiwa kupata Viza kwa wingi, ukitaka kuamini maneno yangu siku ukifika Marekani na ukakutana na Watanzania utashangaa kuona mambwiga kama hawa walipataje Viza?
Mpaka sasa hivi Viza isiyokuwa na longolongo ni Sheghen Viza tu, Marekani walishawahi kumtosa Viza Mzee John Malecela bila kujari kama alishika nyadhifa kubwa nchi hii.
Hapo hakuna visa ndugu yangu. We unasema rafiki? Mie uncle wangu kabisa ninekwama. Nimepeleka hati ya nyumba leseni ya biashara cheti cha ndoa vyeti vya kuzaliwa watoto wawili mkataba mnono wa kazi bank statement iliyonoga na clearance ya polisi. Wakasema simply 'anko wako kakaa US miaka 6 sasa ni bora yeye aje kutembelea ndugu zake na sio weww kwebda huko' jamaa fedhuli kisha akaita mutu ingine...mie nikapewa kapaspoti kangu.
Na wewe kitu kama hujui uliza ueleweshwe, kuna Viza Category nyingi, Student Viza ndiyo inahitaji uwe na Bank statement ya sponsor wako atakayegharamia masomo yako au bank statement yako kama utajigharamia mwenyewe, maybe na Tourist Viza.
Sasa ubalozi wa Marekani hauitaji lundo la makaratasi kumpa mtu Viza, hawaamini katika makaratasi bali mdomo kwa mdomo na counsulor amepewa uwezo wa kutoa au kunyima viza.
Tip: Ni lazima watu wanyimwe Viza kwa sababu Marekani imepanga wastani wa raia wa nchi fulani kuingia kwao kwa mwaka na ubalozi huwa unaplan kwa siku watoe Viza zisizozidi ngapi? hata wote siku hiyo muwe mmekamilika lakini wa kutoswa ni lazima wawepo na hakuna swala la wote kupewa Viza.
Hakuma swala la bank statement kama unakwenda kutembea Marekani muongo mkubwa wewe.Wewe kauzu kabla haujaongea mataputapu yako msome mleta mada anataka viza ya aina gani na mimi nilikuwa namjibu nani.
Nani amekuambia anataka orodha za aina ya viza nikitaka sinaingia kwenye site yao. unakwenda Marekani kutembea halafu wasikuombe bank statement.
Acha uongo wewe umejuaje mambo ya familia ya Malecela au wewe mpambe wa LE MUTUZ.
sidhani kama ni hivyo, hata wao wanatakiwa waombe viza ubalozi wetu DC kabla hawajatia timu kwetu.
Hapo hakuna visa ndugu yangu. We unasema rafiki? Mie uncle wangu kabisa ninekwama. Nimepeleka hati ya nyumba leseni ya biashara cheti cha ndoa vyeti vya kuzaliwa watoto wawili mkataba mnono wa kazi bank statement iliyonoga na clearance ya polisi. Wakasema simply 'anko wako kakaa US miaka 6 sasa ni bora yeye aje kutembelea ndugu zake na sio weww kwebda huko' jamaa fedhuli kisha akaita mutu ingine...mie nikapewa kapaspoti kangu.
Hivi unafahamu maana ya Interview wewe? yaani uulizwe maswali badala ya kujibu swali umgeuzie maswali Consular? labda huwa unakwenda USA River kama Sinza na siyo US.Na kama uncle wako angekuwa kakaa mwaka mmoja nadhani wangekwambia hamna aja ya kwenda bado hajakaa muda mrefu sana kiasi cha kukufanya wewe uende! Tatizo wabongo wengi hamjiamini,ulitakiwa umuulize na yeye maswali ya msingi tu sio kukata tamaa ghafla. Mimi wananijua pale ubalozini..na ndio maana naenda US ka nnavyoenda sinza kunywa bia..
Hivi unafahamu maana ya Interview wewe? yaani uulizwe maswali badala ya kujibu swali umgeuzie maswali Consular? labda huwa unakwenda USA River kama Sinza na siyo US.