Wenzio walioenda posta wameulizwa Mambo ya posts posta, na wewe jaribu kujua kuhusu railway, labda wanaweza uliza.Habarii ndugu zangu,Naomba msaada wa maswalii ya written yaliyowahii kuulizwa kwenye USAHILI wa shirika la relii Tanzania kada ya civil engineering technician utumishi.