Msaada: Usafiri wa ndege arusha-bukoba

Msaada: Usafiri wa ndege arusha-bukoba

Twilumba

Platinum Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
13,678
Reaction score
16,699
Wadau naomba kuliza; Hivi kuna flight inayofanya Safari ya Arusha- Bukoba? Na je kama ipo ipi na fare ni kiasi gani to an fro? Ntashukuru kwa msaada wenu!

Naomba kuwasilisha, Asanteni!
 
Back
Top Bottom