Asante Mr eddy natarajia kufikia sehem ambayo ni salama zaidi kulingana na mazingira ya mji sababu ni mizigo na kesho yake (j5) natarajia kuacha hapo mizigo ili kufatilia mambo ya kazini kama usajili kisha mizigo nichukue baadae kwa uzoefu wako naomba uniambie kipi bora kati ya hotel au guest
Acha ushamba wewe usafiri mzuri ni ndege tu. Achana na hayo mabasi mabovu yenye umri wa miaka 30 na masereva walevi wa milungi. Hakuna usafiri hapo. Panda ndege mpk mwanza then unachuku tax kwenda geita derever tax anaendesha unser your control
Kaka budget yangu ni ndogo sana kiasi cha kuweza kumudu hizo gharama una lolote zaidi la kunishauri kuhusu safari yangu nje ya hapo#unakaribishwaAcha ushamba wewe usafiri mzuri ni ndege tu. Achana na hayo mabasi mabovu yenye umri wa miaka 30 na masereva walevi wa milungi. Hakuna usafiri hapo. Panda ndege mpk mwanza then unachuku tax kwenda geita derever tax anaendesha unser your control
Nakuhakikishia Mr eddy kutoingia majaribuni kwa makahaba hao vipi nikiwa maeneo hayo naweza kutumia mitandao yote ya simu au panabagua baadhi hii ni kwa eneo lote la geita#nitarajie nini niwapo maeneo hayo.
Asante mkuu nadhani hiyo itanirahisishia kiasi flani mwanza nina idea napo gharama za mwanza to geita zikoje na itachukua Mda gani kufika hapo geita kutokea mwanza.Panda bus la [happy nation, kidia one expres au kisbo] hadi mwanza utalala gesti kesho yake utapanda kosta kutoka mwanza nyegezi hadi geita kupitia sengerema. mara nyingi hata mimi ndio ninaotumia kutoka dar to sengerema.
Tutapambana tu kaka vipi kuhusu swala la usalama hasa maeneo ya pembezoni mwa mji hasa ukizingatia kwa taaluma yetu unaweza angukia huko.Karibu Geita mkuu hapa mitandao yote ni full coverage na ukiwa mjini yote ni 3g hapa kuna watu wa mataifa mbalimbali sababu ya mgodi wa GGM hivyo Maisha yapo juu kiasi hasa nyumba
Tutapambana tu kaka vipi kuhusu swala la usalama hasa maeneo ya pembezoni mwa mji hasa ukizingatia kwa taaluma yetu unaweza angukia huko.
Asante sana kaka ngoja nije nifanye kazi huko.