Msaada update ya iphone os | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada update ya iphone os

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Zeddicus Zu'l Zorander, Oct 8, 2012.

 1. Zeddicus Zu'l Zorander

  Zeddicus Zu'l Zorander JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 571
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 60
  Wakuu nina iphone 3GS ambayo ios yake ni 4.1, nimekuwa nikishindwa kuweka program mpya nyingi kwa kuwa nyingi zinahitaji version ya mbele.
  Naomba kujua hivi nikiupdate mpaka version 5.1 kuna ubaya? Na kama kuna shida yoyote naomba mnieleweshe..pia kama kuna mtu ameshafanya hii kitu anaweza kutoa experience..
   
 2. i411

  i411 JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Hakuna ubaya wowote wewe update 2 unahitaji internet kwenye computer ukiiunganisha na itunes au ukopata wireless yenye kaspeed unaweza update moja kwa moja toka kwenye simu
   
Loading...