Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,111
- 2,413
Nashukuru ila me ni mwanaume[emoji3]Total cost ni kama 160,000.. ila inategemea na eneo.
Hapo ni frame, case ile ya kubebea na lens…
Loc. Ni ST Joseph- Njiro ‘ ghorofa la Pick n’ pay supermarket.
Na frame zao ni nzuri kwa kweli… zimekaa kidada, very classy..
Ah nilidhani Doreen 🤣🤣Nashukuru ila me ni mwanaume[emoji3]
Ndo nkaona niulizieulizie kwanza maana me najua KCMC tu[emoji16]Ah nilidhani Doreen [emoji1787][emoji1787]
Pia frame za kiume zipo ambazo hazina korokoro.. bei yaweza pungua kiasi
KCMC Moshi? Huwezi kuwa serious 😂Ndo nkaona niulizieulizie kwanza maana me najua KCMC tu[emoji16]
Hivi miwani inatibu au inarekebisha lens??,na what if ukiwa huoni mbali ukaambiwa unatakiwa kuvaa miwani na usivae-unaweza kuwa kipofu??Ah nilidhani Doreen 🤣🤣
Pia frame za kiume zipo ambazo hazina korokoro.. bei yaweza pungua kiasi
Bei,
Sababu kuu ni kwa ajili ya kuongeza uwezo wa kusoma.
Kind of kurekebisha Lens, inasaidia uone mbali kama we una uoni hafifu..Hivi miwani inatibu au inarekebisha lens??,na what if ukiwa huoni mbali ukaambiwa unatakiwa kuvaa miwani na usivae-unaweza kuwa kipofu??
Wewe ndo umenielewa ndg yangu yaani hii comment yako ndio hitaji langu[emoji120][emoji120]Kind of kurekebisha Lens, inasaidia uone mbali kama we una uoni hafifu..
Usipovaa huoni vizuri mbali, au maandishi madogo dogo
Mkuu nlikuja kwenda kcmc, kwa huduma mbovu nlopata nawafungulia uzi asee, nimejilaumu mno bora ningetafuta huduma Arusha tu[emoji848][emoji848]KCMC Moshi? Huwezi kuwa serious [emoji23]
Sehemu town haziwezi kosekana, ila me pia napajua tu ST Joseph [emoji56]
Ukome 🤣Mkuu nlikuja kwenda kcmc, kwa huduma mbovu nlopata nawafungulia uzi asee, nimejilaumu mno bora ningetafuta huduma Arusha tu[emoji848][emoji848]
Pia nimeona tangazo jana sehemu mpya ya macho hapo mkabala na Total NjiroMkuu nlikuja kwenda kcmc, kwa huduma mbovu nlopata nawafungulia uzi asee, nimejilaumu mno bora ningetafuta huduma Arusha tu[emoji848][emoji848]