Rogart Ngaillo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 931
- 1,959
Waungwana habari zenu....Nina hii Modem ya Huawei E303 ya Vodacom... Tatizo ni kutumia line yao tuu...Naombeni mautundu nii-unlock ili ma-line mengine yahusike.Natangulizamo shukrani za Mapinduzi wajameni!