Je, naweza kufundisha chuo? Undergraduate nina GPA 3.1, Post graduate GPA 4.1, Masters GPA 4.0

Wana elitism sana. Wanajiona wao ni Miungu watu, wengine hawana akili.
Hatukatai kwamba gate keeping ni lazima lakini wanatakiwa wabadilike, kwasababu dunia inabadilika.
Hapo udsm wamejazana mgpa na degree za kufa mtu lakini hakuna maendeleo wala ubunifu wa mambo mapya. Hawazalishi wataalamu tena, wanazalisha malecturer tu.
Ndio maana watu walikuwa wanawacheka na vimaonyesho vyao. Vina disconnect kabisa na jamii. Mimi na amini akili za mtu zitaonyesha matokeo kutatua matatizo yaliyopo kwenye jamii.
Wangetafuta hata watu waliopo on top of their feilds and careers wawe wanafanya kazi part time kufundisha wanafunzi na kutunga mitaala wakishirikiana na malecturer wakuu. Ndio kinachofanywa na vyuo vikubwa duniani.
Upo sawa words. Kama wapo huku hii nyundo inaweza kuwafanya watafakari.
 
UNA UHAKIKA KUWA GPA KUBWA NI KIGEZO CHA KUIVA KITAALUMA? JARIBU KUTOFUATISHA KATI YA COMPETENCE NA HIZO GPA, KUNA WATU TUMEWAONA GPA KUBWA NA MASTERS ZAO UDSM BUT COMPETENCE ZERO, ANATUMIA FALSAFA YA "LECTURE NDIYO MUNGU KATIKA ELIMU YA BONGO".
Utakuwa una hitilafu kwenye medulla oblangata siyo bure
 
Wasalaam wataalamu na wanazuoni wa masuala ya elimu.

Naomba kujua Huyu Mwenye GPA 3.1 Kwa undergraduate,
Post graduate 4.1, halafu Masters GPA 4.0

Je, MTU Huyu anazo sifa za kufundisha chuo kikuu Kwa mujibu wa sheria za Tanzania?
GPA nikitu gani?
 
Post graduate haina uzito wowote kwenye kazi za lecturer, hata iwe gpa ya 5, bado jicho linapigwa kwenge gpa ya degree na masters.

Nikiwa chuo kuna watu tuligundua wao wanarudia kusoma degree, Aisee wale jamaa walikuwa wanasoma kama wapo vitani ni mwendo wa A na B+ nadhani waliondoka na GPA 4+, wengine tayari walikuwa na postgraduate na wengine walikuwa wamemaliza mitihani ya cpa.

Niliowajua wanarudia degree katika miaka tofauti pale chuoni walikuwa kama sita, wawili kati ya hao ni lecturers, maisha yanasonga fresh.

Kama kweli mtu una nia basi jiandae kuji sacrifice miaka mitatu au minne huko chuo, pambana mpaka kieleweke yani ni mwendo wa kunyoosha tu hadi ili uhitimu gpa hata ya 4.2.

Upinzani ni mkubwa sana siku hizi, wahitimu ni wengi sana maana vyuo vipo vingi, Madogo wanakimbiza sana hizi gpa maana materials za kujisomea ni nyingi sana, Hizi 3.8 zipo nyingi sana, sio kama zamani.

Heri kuchelewa kuliko kutojaribu kabisa, kwani miaka mitatu kitu gani.
Ninapata mwanga mzuri, Nina 2.7 ktk bachelor degree, nimechaguliwa kusoma Masters of Education,, baada ya kumaliza naweza nikarudi kusoma Bachelor degree kwa Mara nyingine tena ambapo inabidi nipige msuli wa kufa mtu si ndio??
 
Ndioo Extrovert naona umeangusha cheko apo, ukitaka chauvungun lkn ukifuate uvunguni ...wapo watu mjin hapa wana masters 2 za aina tofauti tofauti mara ya Gender and what what mara ya BBA in Finance .... Sio kosa mtalaam
Mimi nilifia mpakani bana. Hizo nafasi huwa naziangaliaga tu. Sina jinsi maana nna 340 undergraduate
 
Ninapata mwanga mzuri, Nina 2.7 ktk bachelor degree, nimechaguliwa kusoma Masters of Education,, baada ya kumaliza naweza nikarudi kusoma Bachelor degree kwa Mara nyingine tena ambapo inabidi nipige msuli wa kufa mtu si ndio??
Unaweza vizuri tu
 
Ninapata mwanga mzuri, Nina 2.7 ktk bachelor degree, nimechaguliwa kusoma Masters of Education,, baada ya kumaliza naweza nikarudi kusoma Bachelor degree kwa Mara nyingine tena ambapo inabidi nipige msuli wa kufa mtu si ndio??
Poleni sana aisee...keep on chasing your dreams
 
Yani kama ningekua kibopa maisha yangu yote ningespend shule aisee, napenda sana kusoma. Ningeridhika atleast nikiwa na degree 10 tofauti tofauti.
 
Mkuu, una uhakika na hiki ukisemacho? Na je kiko uniform kwa vyuo vyote?
Minimum undergraduate GPA ili mtu awe na sifa ya kufundisha chuo kikuu ni 3.5 (Upper Second). Lakini vyuo vikuu vya serikali vimejiwekea viwango vyao vya GPA 3.8 ili uweze kufundisha vyuo vikuu vya serikali.
 
Back
Top Bottom