Je, naweza kufundisha chuo? Undergraduate nina GPA 3.1, Post graduate GPA 4.1, Masters GPA 4.0

GPA zina jumlishwaje kupata ili kuja kustand gpa moja tu ndani ya moaka mitatu au minne? wanachukuwa ya mwaka w mwisho au wanafanyaje?
nimesoma miaka mitatu chuoni yenye semesta sita, kila semesta unatafuta gpa maana itaenda kujumlishwa na gpa za semesta zote ili kupata wastani wa average gpa unavyoanza chuo hadi unapomaliza,
 
kwahiyo wanajumulisha zote wanagawa kwa 6 sio?!
 
M
GPA zina jumlishwaje kupata ili kuja kustand gpa moja tu ndani ya moaka mitatu au minne? wanachukuwa ya mwaka w mwisho au wanafanyaje?
Kila semesta ina G.p.a, Mfano umesoma kozi ya miaka mitatu basi kuna semesta 6, Kinachofanyika gpa zote za kila semesta zinajumlishwa alafu unagawanya kwa 6, Yaani hata semesta ya kwanza tangu unapoingia chuo mpaka semesta ya mwaka wa mwisho

Mfano

1608813892334.png

Hapa usipoteze muda kwenda kusomea Post Graduate, Masters au P.H.D ukiwa na Lengo la kuwa Lecturer, Ni kitu kisichowezekana,
 
CHUKUA MFANO HUU

View attachment 1658304

Hapa usipoteze muda kwenda kusomea Post Graduate, Masters au P.H.D ukiwa na Lengo la kuwa Lecturer, Ni kitu kisichowezekana,
Hivi huyu mwenye kaGPA kadogo cha undergraduate (kama mtoa post 3.1) halafu GPA kubwa ya 4 point...akiamua kurudia Bachelor nyengine wataiconsider na kuajiriwa kama lecturer licha ya Bachelor huyo ameipata baada ya kuwa na masters?
 
waytai consider bachelor ya kwanza sio uliyorudia.
 
Kwani kazi ni kuwa lecturer tu? atafute kazi nyingine tu kwani tatizo liko wapi, walipoweka kigezo cha lectirer awe na gpa walau ya 3.5 walikuwa na maana yao,
kweli mkuu....na vip kama mtu akiwa na GPA 4.0 y undergraduate then masters akapata GPA 3.6 kw masomo y mathematical modelling...huyu vp? haez kua assistant lecturer chuo chochote ata vya kati kwa uzoefu wko mkuu!
 
Hivi kwanini wengi undergraduate GPA hazisomi lakini Masters wanafanya vizuri sana?
kupata GPA 4+ ni kawaida
 
kweli mkuu....na vip kama mtu akiwa na GPA 4.0 y undergraduate then masters akapata GPA 3.6 kw masomo y mathematical modelling...huyu vp? haez kua assistant lecturer chuo chochote ata vya kati kwa uzoefu wko mkuu!
vitu vipo wazi mbona, bachelor degree uwe na 3.5 + na masters uwe na 4.0+

labda arudie tena masters
 
Back
Top Bottom