slyve Ramon
Member
- Jul 18, 2017
- 65
- 34
Fanya mpango wa kulala bus stend..Habarini Wakuu,natumaini ni wazima wa afya nimekuja mbele yenu naomba msaada tafadhal nina safari ya kwenda Dodoma toka Songea kesho kufanya clearance ya mambo ya chuo nilimaliza Miaka kadhaa iliopita ila sikumaliza kukamilisha mambo yote ,hivyo basi naomba kama Kuna mtu anaweza nikodishia gheto au kunipa hifadhi siku mbili au tatu nitakapokua huko ,hali ya uchumi kwangu sio nzuri sana na wadau niliowacheki kwa kufikia mambo yameenda sio nilivyotarajia
Msaada kama una mtu unaemjua anaweza nisaidia pakufikia nitashukuru sana
Kuhusu kufikia guest house bajeti zinafeli ndo maana nmekuja kwenu nipate ushauri wakuu [emoji120]
KADANDIE HOSTEL NA MADOGOHabarini Wakuu,natumaini ni wazima wa afya nimekuja mbele yenu naomba msaada tafadhal nina safari ya kwenda Dodoma toka Songea kesho kufanya clearance ya mambo ya chuo nilimaliza Miaka kadhaa iliopita ila sikumaliza kukamilisha mambo yote ,hivyo basi naomba kama Kuna mtu anaweza nikodishia gheto au kunipa hifadhi siku mbili au tatu nitakapokua huko ,hali ya uchumi kwangu sio nzuri sana na wadau niliowacheki kwa kufikia mambo yameenda sio nilivyotarajia
Msaada kama una mtu unaemjua anaweza nisaidia pakufikia nitashukuru sana
Kuhusu kufikia guest house bajeti zinafeli ndo maana nmekuja kwenu nipate ushauri wakuu [emoji120]
Anasema atakaa siku mbili au tatu.Fanya mpango wa kulala bus stend..
Sikushauri kulala Kwa Mtu.
Maana kitu unachooenda kufanya ni Emergency.
Ukitoka Songea shuka mwisho wa gari Name nane lala.
Kesho ingia chuo kamilisha Mambo yako haraka iwezekanavyo.
Rudi Hata siku hiyo Hiyo ukifika CBE pale hauwezi kukosa Gari ya kukudrop hata iringa ili urudi songea.
Sioni sababu ya kutafuta kulala maghetoni ya watu
Shukran mkuuHaya jamaa anataka kwenda kuondoa vimeo vyake vya sup hapo Udom msaidieni.
Sasa mzee ulikula extended sup au ilikuwaje?
September conference noma
Asante kaka shukran sana kwa ushauri nifanyia kaziFanya mpango wa kulala bus stend..
Sikushauri kulala Kwa Mtu.
Maana kitu unachooenda kufanya ni Emergency.
Ukitoka Songea shuka mwisho wa gari Name nane lala.
Kesho ingia chuo kamilisha Mambo yako haraka iwezekanavyo.
Rudi Hata siku hiyo Hiyo ukifika CBE pale hauwezi kukosa Gari ya kukudrop hata iringa ili urudi songea.
Sioni sababu ya kutafuta kulala maghetoni ya watu
siku ya kwanza lala stand ya nane kwa kutumia tiketi yako uliyokuja nayo zuga kwa walinzi wa SUMA JKT kuwa umefika (hiyo standi aliijenga JPM ni pazuri pasafi salama na kuna tv). Siku ya pili kata tiketi alafu hahirisha-hahirisha safari kukuwezesha usisumbuliwe na walinzi maana tiketi ya busi ndo inakupa uhalali wa kulala standi. Jitahidi wasitambue janja yako usijejikuta unabebwa na defender kama mzurulajiFanya mpango wa kulala bus stend..
Sikushauri kulala Kwa Mtu.
Maana kitu unachooenda kufanya ni Emergency.
Ukitoka Songea shuka mwisho wa gari Name nane lala.
Kesho ingia chuo kamilisha Mambo yako haraka iwezekanavyo.
Rudi Hata siku hiyo Hiyo ukifika CBE pale hauwezi kukosa Gari ya kukudrop hata iringa ili urudi songea.
Sioni sababu ya kutafuta kulala maghetoni ya watu
Ubarikiwe mkuusiku ya kwanza lala stand ya nane kwa kutumia tiketi yako uliyokuja nayo zuga kwa walinzi wa SUMA JKT kuwa umefika (hiyo standi aliijenga JPM ni pazuri pasafi salama na kuna tv). Siku ya pili kata tiketi alafu hahirisha-hahirisha safari kukuwezesha usisumbuliwe na walinzi maana tiketi ya busi ndo inakupa uhalali wa kulala standi. Jitahidi wasitambue janja yako usijejikuta unabebwa na defender kama mzurulaji
Habarini Wakuu,
Natumaini ni wazima wa afya nimekuja mbele yenu naomba msaada tafadhal nina safari ya kwenda Dodoma toka Songea kesho kufanya clearance ya mambo ya chuo nilimaliza Miaka kadhaa iliopita ila sikumaliza kukamilisha mambo yote.
Hivyo basi naomba kama Kuna mtu anaweza nikodishia gheto au kunipa hifadhi siku mbili au tatu nitakapokua huko ,hali ya uchumi kwangu sio nzuri sana na wadau niliowacheki kwa kufikia mambo yameenda sio nilivyotarajia.
Msaada kama una mtu unaemjua anaweza nisaidia pakufikia nitashukuru sana
Kuhusu kufikia guest house bajeti zinafeli ndo maana nmekuja kwenu nipate ushauri wakuu [emoji120]