M Madewa JF-Expert Member Joined Mar 17, 2012 Posts 467 Reaction score 192 Feb 28, 2014 #1 Habari zenu wanajamvi. Samahani naomba kwa anayefahamu jinsi ya kuongeza salio kwenye akaunti ya kisimbusi cha azam anijuze. Vipi nambari ya akaunti inakuwa ipi...ya kadi au ya kisimbusi? Natanguliza shukrani!
Habari zenu wanajamvi. Samahani naomba kwa anayefahamu jinsi ya kuongeza salio kwenye akaunti ya kisimbusi cha azam anijuze. Vipi nambari ya akaunti inakuwa ipi...ya kadi au ya kisimbusi? Natanguliza shukrani!