Msaada unahitajika

LadySwa

Member
Jan 25, 2009
77
6
wanajamii naombeni kama kuna anayefahamu daktari bingwa wa magonjwa ya pua au Frontal sinuses
kwa Bongo tafadhari.

Natanguliza shukrani kwa watakaochangia.
 
wanajamii naombeni kama kuna anayefahamu daktari bingwa wa magonjwa ya pua au Frontal sinuses
kwa Bongo tafadhari.natanguliza shukrani kwa watakaochangia.

Prof Minja anapatikana Mikocheni hospital

Kuna pia hospital moja Karibu Kwa Sheihk Yahya hapo Magomeni ni wataalamu wa hayo magonjwa
 
Prof Minja anapatikana Mikocheni hospital

Kuna pia hospital moja Karibu Kwa Sheihk Yahya hapo Magomeni ni wataalamu wa hayo magonjwa

Inaitwa Ekenywa hospital, wanatibu vizuri, ipo magomeni mwembechai.
 
Inaitwa Ekenywa hospital, wanatibu vizuri, ipo magomeni mwembechai.
Namkubali Prof. Minja,ila hy wa Magomeni Dr. Ole,bora umuone mwanae nae ni Dr. Huyo baba almanusura angeniondoa,hakubali kushindwa kwn pesa.
 
Ukishindwa kote mwone Dr.Ndodi, Magomeni Sanitarium Clinic!
Huyu is the best. lakini kwa wengi wetu waswahili wengi ni ngumu,maana yeye anatibu kwa vyakula na matunda,lakini waswahili ukiwaambia kuleni machungwa na malimau wao watakuuliza kidonge cha vitamin C huna?. Ingawa nasikia nae bei zake si ndogo.
Unaweza kumuwahi, nasikia yuko kwenye promotion sasa hivi,kapunguza gaharama za tiba kwa asilimia 20.
 
Back
Top Bottom