Msaada unahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada unahitajika

Discussion in 'JF Doctor' started by Mijicho, Feb 18, 2009.

 1. M

  Mijicho Senior Member

  #1
  Feb 18, 2009
  Joined: Jan 20, 2009
  Messages: 113
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Habari wote,
  Nawaombeni msaada wa kimawazo ,matatizo yangi ni kama ifuatavyo
  1.Mwaka 2007 mwezi wa sita nlianza kupata maumivu kwenye mifupa ya miguu(ugoko) wakati nikiwa nafanya mazoezi ya kawaida ,kukimbia ,kikapu.Sikujua ni nini tatizo maana ilikua inauma kama inavuta na baada ya mazoezi nlikua saa nyingine natembea kwa tabu sana,na hiyo ilikua inazidi pindi nnapofanya mazoezi ya nguvu,lakini nikiwa nmekaa ilikua inapungua.
  2.Ghafla maumivu yalihamia sehem za chini ya kitovu,wakati huo na miguu ika inauma pia.
  3.Nilienda dispensary(not hospital) na kupima mkojo nikaambiwa nna uti(mkojo mchafu),nilishangaa kidogo maana huwa nasikia uti mostly ni kwa watoto na wanawake sasa iweje niwe nna uti.Nlipima pia na vdrl ila sikukuta kitu.
  4.Nilitumia dawa ingawa uti ilijirudia rudia ila baadae iliisha,lakini miguu ikaanza kuwa ya moto(burning sensation),mgongo ukaanza kuuma,namaumivu ya chini ya chini ya kitovu nayo yakazidi,na mwili ukawa unachoka sana
  5.Nliamua kupima vipimo vingi sana maana sikuona nafuu,nlifanya barium enema (wataalam mtakijua hichi) ambapo ni kipimo cha utumbo kama uko poa,nikapima vdrl,nikapima na hiv,choo ,mkojo,x-ray ya mgongo,ultra sound,prostate.
  6.Uti haikuwepo,utumbo kidogo ulikua na shaka maana kuna sehe x ray ilionyesha kivuli,mgongo nao walisema kidogo hauko vizuri ni kama haujakaa straight,na doctor mwingine baada ya ultra sound alisema nna kidney stone ndogo,na mwingine akasema nina clear small cyst kwenye prostate ingawa alisema haiwezi kuwa chanzo cha mataizo.
  7.Nimetumia dawa nyingi sana nilizoandikiwa kwa ajili ya hizo problem tangu 2007,na nimekuwa nafanya mazoezi mengi kuwa huenda itanisaidia maumivu ya mgongo piabila mafanikio.
  8.Na hiyo yote ni kuanzia 2007 mpaka leo sijapata nafuu ya aina yoyote
  9.Kwa sasa kila ninapotembea miguu yote inakuwa kama inawaka moto,na inauma as well,nna maumivu makali ya chini ya kitovu,na pia nikijamba huwa harufu haijakaa sawa kabisa,maumivu huzidi kama nikivuta sigara na kunywa pombe , nikifanya mapenzi ,au kama nasikia haja kubwa ,.Mwili nao unakuwa weak sana at some point,na huwa pia nnapata kizunguzungu at some point.Please assist in this as ninakosa raha sana .
  thanks in advance
   
 2. M

  Mtata Member

  #2
  Feb 19, 2009
  Joined: Jan 3, 2008
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka pole kwa matatizo hayo uliyo nayo. Shangazi yangu amewahi kuwa na tatizo linaloelekea kufanana na lako ambalo lilipelekea kuwa hawezi kutemebea tena na kuishi katika hali ya maumivu sana. Hii hali baadae ilikuja kuonekana ilitokana na mkandamizo wa nerves katika uti wa mgongo maeneo ya kiunoni. Napenda kuamini kwa kuwa wewe ndio kwanza tatizo linaanza, utaweza kupata msaada wa haraka na kutibiwa, na pia natumaini haya maelezo yataweza kukusaidia kwa namna moja au nyingine. Ugua pole, kila lakheri.
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Kwa uchunguzi wa haraka haraka inaelekea ni nerve damage, inaweza ikasababishwa na Kisukari au AIDS pamoja na vitu vingine, wamepima hiyo?

  *the neuropathy that occurs in diabetes can cause a burning feet

  * other types of neuropathy (nerve damage) that can cause a burning foot include those that occur in chronic alcoholism, vitamin deficiencies (usually B) and heavy metal poisoning

  * blood disorders (eg thrombocytopenia, pernicious anemia) can cause burning feet

  * Erythromelalgia is a rare circulatory disorder can can cause burning feet

  * Reflex sympathetic dystrophy or complex regional pain syndrome can follow trauma (including surgery) and cause a burning foot sensation

  * nerve entrapments, such as tarsal tunnel syndrome, which is the compression of a nerve at the inside of the ankle joint can cause a burning sensation

  * a localized burning sensation may be due to other specific problems. If its in the forefoot only, it could be metatarsalgia, Morton's neuroma or some other cause. Athletes foot or a fungal infection can also cause a burning sensation in the area of the infection.
   
 4. M

  Mijicho Senior Member

  #4
  Feb 19, 2009
  Joined: Jan 20, 2009
  Messages: 113
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Labda unaweza ukawa unajua doctor mzuri ambaye anaweza akani -attend hii problem,na labda ni hospital gani
   
 5. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2009
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Pole sana mkuu,

  Jaribu MOI Dar es salaam,some people say they are somehow good in neurology na masuala mazima yanayohusiana na viungo,labda Muumba anaweza kupitisha nusra yake humo humo
   
 6. Kinyau

  Kinyau JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2009
  Joined: Nov 24, 2006
  Messages: 793
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  mijicho pole sana,
  Pale MOI mtafute daktari anaitwa "Kinasha" huyu ni mtaalamu wa neurone na mifupa hasa migongo. Ni tabu kidogo kumwona ila usivunjike moyo, kama una visenti mwone kwa fast track system.
  Wish you quick recovery.
   
 7. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Kusema ukweli sijui, ila nina ndugu ni daktari akianza kuongelea mambo yanayotokea hospitali zetu unaweza ukaogopa!
  Kama vijisenti vipo kimbilia India au South, haya maisha yako usilete uzaendo wa kihivyo.
   
Loading...