Msaada unahitajika

Msaada unahitajika

Dr Lizzy

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
31,010
Reaction score
60,472
Giving is a reminder of our own blessings!
275855702_10159620826611675_4373219620686027273_n.jpg


Please support our friend Esteri in whatever way you can 🙏🏾🙏🏾
 
Noma sana. Mil 200.

Ngoja tushee iwafikie watu wengi zaidi.
 
huyo ni nani? mbona km sio mbongo?

ila maelezo hayajajitosheleza
 
Muhimbili juzi walitoa takwimu kua wauzaji wa figo wanaenda kwa wingi kuulizia dili la kuwauza iyo bidhaa, dili iyo hpa jirani2 uganda na dollari izo zimewekwa mubashara
 
huyo ni nani? mbona km sio mbongo?

ila maelezo hayajajitosheleza
Anaitwa Tibandeke au mzirankende wa kwa m7 anatafuta Figo bei hii hpo na namba za cm kaweka fursa mezani, cyo figo wa Ureno figo za binadamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom